Our services

Kizumbi Forex AcademyTunatoa Huduma Zifuatazo

1. Masomo basics kwa beginners

2. Masomo Advance kwa wazoefu ambayo ni - Fundamental - Technical - Sentiment

3. Masomo ya Specialization Gold strategy, USDCAD, EURUSD, GBPUSD Na mengineyo ambayo utapenda kujifunza.

4.Martket Analysis group/Live Fundamental group - Group ambalo utachambuliwa news zote za kila siku na kupewa uelekeo wa masoko after news na kuambiwa matukio yote yanao athiri soko la dunia hata kama hayapo kwenye kalenda.

5.Kizumbi Capital Solution( Propfirm/Fundedacc) Utapata Account za kutrade kwa masharti rahisi ,account ndogo utanunua kwa USD 10 tu na kupewa 1000USD na Account kubwa kabisa ni ya 100k.

6. Signal group