BRAVO ACCOUNT ( Mtaji wa dola 6,000)

Bravo Account ni account yenye mtaji wa dola 6,000 utainunua kwa dola 50 tu. Account hii ina leverage ya 1:50. Ukishanunua account hii utatakiwa kukamilisha hatua zifuatazo:

1.KUFUZU HATUA YA KWANZA

Ili uweze kufuzu hatua ya kwanza unatakiwa kutimiza vigezo vifuatavyo;

2.KUFUZU HATUA YA PILI

Utapewa upya mtaji wa dola 6,000

3. HATUA YA TATU NI KUPATIWA MTAJI ULIOHITAJI.

Masharti ya mtaji huu ni kama ifuatavyo: