Tunatoa mafunzo kwa watu wote ambao hawajawahi kufanya biashara ya Forex ama wamesha wahi bila mafanikio yeyote Masomo hayo hutolewa kwa njia ya zoom meeting ama kusoma kupitia video ambazo tumerekodi masomo yote. Katika basics utajifunza nini maana ya Forex,inafanywa na nani na unawezaje kutengeneza faida na pia utafahamu namna ya kuingia sokoni kwa kutumia application za forex
Baada ya kujua basics za Forex utatakiwa kwenda mbele zaidi na kulisoma soko na kufahamu ni kwa namna gani utaingia na kutoka na Kwa kuzingatia vigezo vipi,Katika Advance level utasoma Technical Analysis, Fundamental na sentiment analysis.
Hii ni level ambayo tunaiita ubobezi,kwa maana ya kua umesha jua sasa kuingia na kutoka sokoni na kufahamu factors zote za soko na hata kuthubutu kutrade Sasa ili kua mtu wa kutengeneza matokeo ni vema ukachagua Pairs ambazo uta base nazo kwa kuzijua in and out.Mfano unaweza chagua GOld na kuamua kusoma Gold strategy na kuwa specialist wake ama ukachagua EURUSD au pair yeyote ambayo unaitaka.Mafunzo haya pia utayapata kwetu
Kizumbi Academy tunatoa mentorship bure kwa mtu yeyote ambaye kapata masomo yote kuanzia basics mpaka Advance level Utapata usimamizi wa bure unapokua sokoni na pia utaruhusiwa kuuliza maswali mahali ambapo panakutatiza Utaunganishwa katika group la Experts ambao pia wamepata elimu na kufanya uchambuzi wa masoko kila siku Huduma hii ya mentorship ni LIFE TIME.
huiiuhiuh