ALFA ACCOUNT ( Mtaji wa dola 4,000)
Alfa Account ni account yenye mtaji wa dola 4,000 utainunua kwa dola 35 tu. Account hii ina leverage ya 1:50.
Ukishanunua account hii utatakiwa kukamilisha hatua zifuatazo:
1.KUFUZU HATUA YA KWANZA
Ili uweze kufuzu hatua ya kwanza unatakiwa kutimiza vigezo vifuatavyo
- - Ku-trade kwa siku zisizopungua tatu.
- - Kutengeneza faida ya 8% ya mtaji uliopatiwa kwenye hii hatua.
- - Kutokupata hasara inayofikia 10% ya mtaji uliopatiwa.
- - Kwa siku kutokupata hasara (Daily loss) inayofikia 5% ya balance unayoanza nayo kwenye siku.
- - Usipo trade kwa miezi mitatu mfululizo itahesabika account ni dormant hivyo itafungwa
2.KUFUZU HATUA YA PILI
Utapewa upya mtaji wa dola 4,000
- - Ku-trade kwa siku zisizopungua mbili.
- - Kutengeneza faida ya 8% ya mtaji. Faida hii itaangaliwa baada ya wewe kufunga trades zako zote ulizofanya.
- - Hasara haitakiwi kuzidi 7% ya mtaji uliopewa. Hasara hii itaangaliwa
- Kutokupata hasara kwa siku(Daily loss) inayofika 3.5% ya balance unayoanza nayo kwenye siku.
- - Usipo trade kwa miezi mitatu mfululizo itahesabika account ni dormant hivyo itafungwa
3. HATUA YA TATU NIKUPATIWA MTAJI ULIOHITAJI.
Masharti ya mtaji huu ni kama ifuatavyo:
- -Ku-trade kwa siku zisizopungua 28 bila kufanya withdrawal ya faida unayokuwa ukitengeneza.
- -Lakini, siku utakazofanya scalping pekee hazitahesabika kama ume trade siku hiyo. Scalping ni entry inayodumu si zaidi ya dakika moja na kutoka na pips zisizozidi tano.
- - Baada ya siku 28 unaweza uka withdrawal faida yote ama sehemu ya faida uliyotengeneza.
- - Utapata gawio la 80% ya faida ambayo utakua umeitengeneza Kila mara utakapo hitaji kutoa faida yako
- - Baada ya kufanya withdrawal ya faida kwa mara ya kwanza, withdrawal zinazofuata utakuwa ukifanya kwa mpishano wa siku tano kati ya withdrawal mpya na withdrawal iliyopita.
- - Kutokupa hasara ya 10% ya mtaji uliopewa.
- -Kwa siku kutokupata hasara(Daily loss) ya 5% ya balance unayoanza nayo kwenye siku.
- - Malipo yako utayapata ndani ya saa moja baada ya kuwasilisha kwetu maombi ya withdrawal.